Gatemile Farm Tanzania
  • Home
  • Huduma zetu
  • Bidhaa zetu
  • Bei zetu
  • Fanya manunuzi
  • Wasiliana nasi
  • Tizama picha(Gallery)
  • NUNUA BATA
  • NUNUA KUKU
  • NUNUA NGURUWE
  • NUNUA MBUZI
  • MAZIWA SAFI
  • NUNUA MAYAI
AGIZA SASA
Simu: +255713352716 au 0712647150

GATEMILE FARM TANZANIA LTD

  • Home
  • Afya
    • Mayai
    • Maziwa
  • Wanyama
    • Mbuzi
    • Ng'ombe
    • Nguruwe
  • Kuku
    • Wa kienyeji
    • Wa kisasa
  • Bata
  • About Us
BATA
kwa mahitaji ya kula na kufuga
NGURUWE-NYAMA
Nyama safi iliyoandaliwa kwa umakini
KUKU
Kuku wa kisasa na wa kienyeji
MAYAI
Mayai ya kisasa na kienyeji
VIFAA
Vifaa vya ufugaji kuku
List Slider

kuku wa kisasa

Je unahitaji kuanza ujasiliamali na kufuga kuku wa kisasa? ama wewe tayari ni mjasiliamali na unafuga kuku wa kisasa?

Usisumbuke tena GATEMILE FARM tunao vifaranga wenye viwango yvya hali ya juu, vifaranga vya Broilers, Vifaranga vya Layers. 

  Vifaranga vyenye ubora wa hali ya juu vya kuku wa kisasa ikiwa ni:

  • Kuku wa mayai
  • Kuku wa nyama

 KWANINI UCHAGUE VIFARANGA KUTOKA KWETU?

  1. Gatemile farm TUNATOA MAFUNZO bure,
  2. Gatemile farm tunatoa ushauri bure 
  3. Gatemile tunatoa usafiri bure kwa wakazi wa Dar es salaam.


Vifaranga vyetu hutotoleshwa katika mazingira safi na salama, husafirishwa katika uangalifu wa hali ya juu. Pia vifaranga vyetu hupokea king na chanjo kwa wakati sahihi. 



kwa mahitaji ya ushauri na mafunzo unakaribishwa kutembelea shamba letu lililopo Kibaha.
Tupigie: simu:-

kwa mahitaji ya kuku wa kisasa bofya hapa chini ili kuagiza vifaranga utakavyo malipo ni baada ya wewe kupata mzigo:-

[[[[[[[[[[[[[[[[[[[[[BOFYA HAPA KUAGIZA VIFARANGA]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]
Home

KARIBU GATEMILE!

Wafugaji, wauzaji na wasambazaji wa wanyama na bidhaa zitokanazo na wanyama.

Pia tunatoa ushauri na mafunzo ya ufugaji.


JINSI YA KUPATA BIDHAA ZETU

Kwa wakazi wa Dar es salaam na Pwani utapata huduma ya usafiri bure na malipo ya bidhaa yatafanyika pale utakapopata mzigo wako.

1. bofya agiza sasa
2. jaza form ya kuagiza kwa usahihi
3. submit
4. tutakupigia simu mzigo wako ukiwa tayari
5. tunakufikishia mzigo wako na malipo yatafanyika.


Pia unakaribishwa kutembelea shamba letu lililopo Kibaha mkoani pwani Kwa ajili ya kupata huduma zetu ama bidhaa zetu.

Mahali tulipo

Copyright © Gatemile Farm Tanzania
Design by Dmwabuka | Hudson Theme.NewBloggerThemes.com

TOP

ORDER NOW