Gatemile Farm Tanzania
  • Home
  • Huduma zetu
  • Bidhaa zetu
  • Bei zetu
  • Fanya manunuzi
  • Wasiliana nasi
  • Tizama picha(Gallery)
  • NUNUA BATA
  • NUNUA KUKU
  • NUNUA NGURUWE
  • NUNUA MBUZI
  • MAZIWA SAFI
  • NUNUA MAYAI
AGIZA SASA
Simu: +255713352716 au 0712647150

GATEMILE FARM TANZANIA LTD

  • Home
  • Afya
    • Mayai
    • Maziwa
  • Wanyama
    • Mbuzi
    • Ng'ombe
    • Nguruwe
  • Kuku
    • Wa kienyeji
    • Wa kisasa
  • Bata
  • About Us
BATA
kwa mahitaji ya kula na kufuga
NGURUWE-NYAMA
Nyama safi iliyoandaliwa kwa umakini
KUKU
Kuku wa kisasa na wa kienyeji
MAYAI
Mayai ya kisasa na kienyeji
VIFAA
Vifaa vya ufugaji kuku
List Slider

Kuku wa kienyeji

Kuku wakienyeji wenye mchanganyiko wa kuku kutoka Malawi, kuku kutoka South Africa na India.
  •  Aina ya kwanza
Mchanganyiko maalum wa mbegu kutoka kuku wenye sifa tofauti unaopelekea kuku hawa wa kienyeji kuwa na sifa tofauti na kuku wengine kuku hawa wana sifa ya kuwa wakubwa na sifa ya kuwa na afya imara. 

  • Aina ya pili
Pia Tuna kuku aina ya chotara ambao ni mchanganyiko wa kuku wa mayai yaani Layers na kupandikizwa majogoo ya Malawi. hivyo kuwafanya watoe mayai yenye kutotolesha vifaranga  chotara vya kienyeji ambavyo Hutaga mayai mengi ukilinganisha na kuku wa kienyeji wa kawaida(ambao hawajachanganywa).

GATEMILE FARM tunakupatia kuku bora wenye afya na chanjo zote zinazopendekezwa kwa kanda ya pwani. ikiwemo Newcastle

Home

KARIBU GATEMILE!

Wafugaji, wauzaji na wasambazaji wa wanyama na bidhaa zitokanazo na wanyama.

Pia tunatoa ushauri na mafunzo ya ufugaji.


JINSI YA KUPATA BIDHAA ZETU

Kwa wakazi wa Dar es salaam na Pwani utapata huduma ya usafiri bure na malipo ya bidhaa yatafanyika pale utakapopata mzigo wako.

1. bofya agiza sasa
2. jaza form ya kuagiza kwa usahihi
3. submit
4. tutakupigia simu mzigo wako ukiwa tayari
5. tunakufikishia mzigo wako na malipo yatafanyika.


Pia unakaribishwa kutembelea shamba letu lililopo Kibaha mkoani pwani Kwa ajili ya kupata huduma zetu ama bidhaa zetu.

Mahali tulipo

Copyright © Gatemile Farm Tanzania
Design by Dmwabuka | Hudson Theme.NewBloggerThemes.com

TOP

ORDER NOW