Gatemile Farm Tanzania
  • Home
  • Huduma zetu
  • Bidhaa zetu
  • Bei zetu
  • Fanya manunuzi
  • Wasiliana nasi
  • Tizama picha(Gallery)
  • NUNUA BATA
  • NUNUA KUKU
  • NUNUA NGURUWE
  • NUNUA MBUZI
  • MAZIWA SAFI
  • NUNUA MAYAI
AGIZA SASA
Simu: +255713352716 au 0712647150

GATEMILE FARM TANZANIA LTD

  • Home
  • Afya
    • Mayai
    • Maziwa
  • Wanyama
    • Mbuzi
    • Ng'ombe
    • Nguruwe
  • Kuku
    • Wa kienyeji
    • Wa kisasa
  • Bata
  • About Us
BATA
kwa mahitaji ya kula na kufuga
NGURUWE-NYAMA
Nyama safi iliyoandaliwa kwa umakini
KUKU
Kuku wa kisasa na wa kienyeji
MAYAI
Mayai ya kisasa na kienyeji
VIFAA
Vifaa vya ufugaji kuku
List Slider

Huduma zetu

GATEMILE FARM - HUDUMA ZETU.

GATEMILE FARM TANZANIA tunatoa huduma zifuatazo:

    1. Chakula BORA cha kuku

Tunatengeneza na kuuza chakula bora cha kuku wa aina zote. kuku wa nyama(broilers), kuku wa mayai(layers), kuku wa kienyeji. na kusambaza chakula cha kuku chenye ubora wa hali ya juu.

  

    2. Ushauri na mafunzo ya ufugaji.

 Kama kuna tatizo katika mifugo yako, tunatoa ushauri wa kitaalam, kutokana na uzoefu wetu wa hali ya juu katika ufugaji, wataalam wetu watakupatia ushauri na mafunzo ya namna ya kufuga kwa usahihi mifuhgo utakayo nunua kutoka kwetu(bure), ama mifugo ulionayo(kwa malipo nafuu).
  • Ushauri juu ya magonjwa ya mifugo(bure)
  • Ushauri namna ya kufuga(bure)
  • Ushauri juu ya kuongeza mazao ya mifugo(bure)

   3. Kutotolesha mayai

Tunatotolesha mayai ya bata, kuku, kware, kanga, bata bukini na njiwa. Tuna mashine kubwa za incubators, na hatchers za kisasa na kutosha. 
  • - tunatoa huduma ya kutotolesha mayai ya broilers
  • - mayai ya layers
  • - mayai ya kware



Home

KARIBU GATEMILE!

Wafugaji, wauzaji na wasambazaji wa wanyama na bidhaa zitokanazo na wanyama.

Pia tunatoa ushauri na mafunzo ya ufugaji.


JINSI YA KUPATA BIDHAA ZETU

Kwa wakazi wa Dar es salaam na Pwani utapata huduma ya usafiri bure na malipo ya bidhaa yatafanyika pale utakapopata mzigo wako.

1. bofya agiza sasa
2. jaza form ya kuagiza kwa usahihi
3. submit
4. tutakupigia simu mzigo wako ukiwa tayari
5. tunakufikishia mzigo wako na malipo yatafanyika.


Pia unakaribishwa kutembelea shamba letu lililopo Kibaha mkoani pwani Kwa ajili ya kupata huduma zetu ama bidhaa zetu.

Mahali tulipo

Copyright © Gatemile Farm Tanzania
Design by Dmwabuka | Hudson Theme.NewBloggerThemes.com

TOP

ORDER NOW