Kuku wa kienyeji
Kuku wakienyeji wenye mchanganyiko wa kuku kutoka Malawi, kuku kutoka South Africa na India.
- Aina ya kwanza
Mchanganyiko maalum wa mbegu kutoka kuku wenye sifa tofauti unaopelekea kuku hawa wa kienyeji kuwa na sifa tofauti na kuku wengine kuku hawa wana sifa ya kuwa wakubwa na sifa ya kuwa na afya imara.
- Aina ya pili
Pia Tuna kuku aina ya chotara ambao ni mchanganyiko wa kuku wa mayai yaani Layers na kupandikizwa majogoo ya Malawi. hivyo kuwafanya watoe mayai yenye kutotolesha vifaranga chotara vya kienyeji ambavyo Hutaga mayai mengi ukilinganisha na kuku wa kienyeji wa kawaida(ambao hawajachanganywa).
GATEMILE FARM tunakupatia kuku bora wenye afya na chanjo zote zinazopendekezwa kwa kanda ya pwani. ikiwemo Newcastle